Wafanyakazi wa Kampuni ya BQ wakijianda kufungulia gesi asilia kwa ajili ya matumizi ya viwandani na majumbani kwa wkazi wa maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam wakati wa kukabidhi Mradi huo wa serikali kupitia Shirika la Maendeleo Petroli (TPDC)
Mtaalamu wa gesi kutoka Kambuni ya BQ Contractors Eng. Teddy Chungu akitoa maelekezo kwa wafanyakazi wezake wakati wa kukabidhi mradi wa gesi asilia kwa matumizi ya viwandani na majumbani. Mradi huo wa serikali kupitia Shirika la Maendeleo Petroli (TPDC) ulimalizika Decemba mwaka jana na wakazi wa Mikocheni wanaweza kutumia gesi asilia kuanzia sasa.
No comments:
Post a Comment