Mwenyekiti wa
Wakurugenzi wa Mashtaka wa nchi za
Afrika Mashariki Dkt. Eliezer Feleshi (kushoto) akiongea katika ufunguzi
wa mkutano wa Wakurugenzi wa Mashtaka wa
Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam. Pichani
mwengine ni Mkurugenzi wa mashtaka kutoka Kenya
Keriako Tobiko.
-Mkwenyekiti wa Wakurugenzi wa Mashtaka wa Afrika Mashariki
Dr. Eliezer Feleshi (katikati) akifungua mkutano wa siku 2 wa Wakurugenzi wa mashtaka wa Afrika Mashariki
leo jijini Dar es Salaam.Mkutano huo unawashirikisha Wakurugenzi wa Mashtaka kutoka nchi za Tanzania, Kenya,
Uganda, Rwanda na Burundi.
Mwenyekiti wa Mkutano
w Wakurugenzi wa Mashataka wa Afrika Mashariki Dk. Eliezer Feleshi (kushoto) na Mkurugenzi wa Mashtaka
kutoka Kenya , Keriako Tobiko leo jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment