Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Iasck wakati wa kufunga maonyesho ya wiki ya Mifuko ya Jamii iliyofanyika mkoani Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Mfuko wa Pesheni (PPF), William Urio
Rais Jakaya Kikwete, akipata maelezo katika Banda la Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mfuko huo, Sarah Kibonde wakati wa kufunga maonyesho hayo. Kushoto aliyesimama ni Mkugunzi Mtendaji wa Mfuko huo, Irene Isack na Katikati ni Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundecia Kabaka.
Rais Jakaya Kikwete akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),
, Irene Isack
Rais Jakaya Kikwete akijiandikisha kuwa mwanachama kwenye Banda la GEPF
Rais Jakya Kikwete akimkabidhi cheti cha utambuzi wa kuwa na wanachama wengi Mkurugenzi Mkuu waShirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dk. Ramadhani Dau wakati wa kilele cha maonyesho ya wiki ya Mifuko ya Jamii mkoani Dodoma. katika ni Waziri wa Kazi na Ajira Gaudencia Kabaka
Mkurugenzi Mfuko wa Jamii wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau akionyesha cheti alichokabidhiwa na Rais Jakaya Kikwete kilichotolewa na SSRA wakati wa kilele cha maonyesho ya wiki ya Mifuko ya Jamii
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Picha ya pamoja na Menejimenti ya SSRA wakati wa kilele cha maonyesho ya wiki ya Mifuko ya Jamii mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment