Rais Jakaya Mrisho Kikwet
akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Mzee Ally Kleist
Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo katika makaburi ya
Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali,
Rais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa,
Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kianana wakiungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi
ya Mzee Ally Kleist Sykes, mmoja wa waasisi wa chama cha TANU, leo
katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2013
No comments:
Post a Comment