Baadhi ya wabunge wakiwa nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda, kuahirisha Bunge kutokana na vurugu za gezi zinazoendelea mkoani Mwara,
Spika wa Bunge amelazimika kuahirisha Shughuli za Bunge kufuatia vurugu zinazoendelea mkoani Mkoani Mtwara kwa kilichoelezwa na vurugu za gesi
Mpaka anaahirisha Shughuli za Bunge iwabunge walitakiwa kuendelea na Mjadala wa Hotuba ya Wizara ya Nishati na Madini ya Makadiro, Mapato ya Matumizi kwa mwaka 2013/14
No comments:
Post a Comment