Mbunge wa Kawe (CHADEMA), HAlima Mdee akizunumza wakati wa Semina ya wabunge kuhusu rasimu ya tatu ya upatikanaji wa gesi nchini iliyofanyika katika Ukumbi Bunge wa Pius Msekwa mjini Dodoma
Mbunge wa Viti maalum, Martha Mlata akichangia katika Semina hiyo kuhusu gesi
Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangala akichangia katyika Semina hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini. Maswi akijibu baadghi za hoja za wabunge wakati wa Semi hiyo. Wengine katika picha ni Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Sospeter Muhongo, Mwenyikiti wa Kamati wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Victor Mwambalaswaa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi
No comments:
Post a Comment