Askari wa usalama barabarani akiangalia namba ya Pikipiki
Askari
wa Usalama barabarani akiandika maelezo baada ya kutokea ajali eneo la Tandale,
iliyosababishwa na Basi la Daladala lenye namba za usajili, T 944 ANR,
linalotoa huduma ya usafiri kati ya Ubungo na Makumbusho, kugonga Pikipiki
yenye namba za usajili, T719 CKK, iliyokuwa imeegeshwa pembezoni mwa barabara
hiyo, Dar es Salaam jana. Dereva wa Pikipiki na abiria walijeruhiwa na kukimbizwa
hospitali
Daladala lilivyovamia Nyumba baada ya kuigonga Pikipiki iliyokuwa imeegeshwa kandokando mwa Barabara.
No comments:
Post a Comment