Waziri
wa Habari vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara akimkabidhi
zawadi ya picha mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ilyopita Profesa, Elisi
Jngo baada ya kumaliza muda wake
Waziri wa Habari ,vijana Utamaduni na Michezo Dk Fenella
Mukangara akiangalia picha zilizochorwa na wanachuo wa Chuo Cha Sanaa
Bagamoyo katika hafla ya uzinduzi wa Bodi mpya ya ushauri ya Tamasha la Sanaa la Utamaduni la Bagamoyo
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo hicho.
Wanachuo
wa Chuo Cha Sanaa Bagamoyo wakimuonesha waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo kazi wanazozifanya katika Chuo hicho ambapo
picha moja inauzwa sh laki tatu
No comments:
Post a Comment