Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusiana na Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji Joseph Warioba, ambapo alisema kwamba Chama cha Mapinduzi kina imani na Tumi hiyo.
l
No comments:
Post a Comment