MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, October 20, 2014

KIVUKO CHA MV MAGOGONI CHALAZIMIKA KULIVUSHA GARI LA ZIMAMOTO PEKEE KUWAHI KUZIMA MOTO

Gari la Jeshi la Zimamoto likiwa kwenye Kicuko cha Mv Magogoni tayari kwa kufushwa kuwahi kuzima moto uliokuwa unaunguza moja ya nyumba eneo la Kigamboni, Dar es Salaam leo



Kivuko cha Mv Magogoni (kulia) kikielekea Kigamboni kikiwa hakina watu kutokana na haraka ya kulivusha gari la Zimamoto. Kushoto ni Kivuko cha Mv Kigamboni kikitoka eneo la Kigamboni

No comments:

Post a Comment