MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, October 26, 2014

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WANAOUNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA) WASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA PAMOJA

Wenyeviti wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi (UKAWA) wakitia saini ya makubaliano ya ushirikiano wa pamoja wakati wa Mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi
 Baadhi ya wanachama wa vyama hivyo wakishangilia katika Mkutano huo
 Baadhi ya wanachama wa Chama hicho wakiwa wamejipaka rangi kuonyesha ushirikiano wa Vyama hivyo
 Tundu Lissu wa Chadema (kulia) akimtambulisha, Ismail Jussa wa Chama cha wananchi (CUF)
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zanzibar,  Salum Mwalimu akizungumza kwenye mkutano huo



Baadhi ya wanachama wa vyama hivyo wakishangilia katika Mkutano huo

No comments:

Post a Comment