MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, September 24, 2015

KAMATI MAALUMU INAYOUNDWA NA VYAMA VYA SIASA KURATIBU UGAWAJI WA VIFAA VYA WAPIGAKURA 25 Oktoba 2015



Viongozi wa vyama vyasiasa wanaounda kamati maalumu inayosimamia uingizwaji wa vifaa vya wapiga kura na usambazaji nchi nzima. Wamepongeza Serikali na Tume ya Taifa kwa juhudi kubwa ya maandalizi ya vifaa vya uchaguzi. 
Kamati hii imeundwa na wajumbe wa vyama vyote vya siasa Tanzania, jeshi la polisi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
"Tumejionea maajabu ya mamilioni ya vifaa hapa ni jambo la kujivunia sana kwa serikali na wananchi kwa ujumla,Tunaambiwa tumepewa tuzo za kimataifa kwa kuandikisha wapigakura kwa wakati,na ubora wa BVR Dunia nzima pongezi Tume" Renatus Mwambi Katibu Mkuu wa CCK

No comments:

Post a Comment