MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, December 31, 2015

NAIBU WAZIRI ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AFANYA ZIARA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellina Mabula akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana alipofanya ziara katika makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Kulia ni Mkurugenzi Mkuu  Nehemia Mchechu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angellina Mabula akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana alipofanya ziara katika makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

No comments:

Post a Comment