MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, October 22, 2017

KAWE JOGGING CLUB YASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA MITANO


Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza  (katikati) akiwa katika mazoezi ya jogging  na kikundi cha Kawe Jogging Social Club katika sherehe za miaka mitano ya kikundi hicho  zilizofanyika  jijini Dar es Salaam (aliyenyoosha kidole  kushoto) ni Katibu wa Kawe Jogging Social Club, Alhaj Seif Muhere


Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza   (katikati) akifanya mazoezi ya viungo na wanachama wa vikundi mbalimbali vya jogging mkoani Dar es Salaam katika sherehe za miaka mitano ya kikundi cha Kawe Jogging Social Club leo,(kushoto)  Katibu wa Kawe Jogging Social



Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezom Juliana Shonza  akizungumza na wanachama  wa vikundi mbalimbali vya jogging Mkoani Dar es Salaam katika sherehe za maadhimisho ya miaka mitano ya kikundi cha Kawe Jogging Social Club zilizofanyika  jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment