MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, August 12, 2011

Mbunge wa Kigoma mjini Peter Selukamba na Balozi wa Marekani nchini, Alphonso Lenhardt

Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM) Peter Selukamba (kushoto) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini, Alphonso Lenhardt kwenye Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma kwa ajili ya kukutana kwa mazungumzo

Mbunge wa Kigoma Mjini (CCM) Peter Selukamba (kushoto) akiwa na Balozi wa Marekani nchini, Alphonso Lenhardt walipokutana mjini Dodoma kwa mazungumzo katika Ukumbi wa Spika jana

No comments:

Post a Comment