MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, August 9, 2011

Sakata la Uhaba wa Mafuta lachukua sura mpya Bungeni

Mbunge wa Bumbuli (CCM), January Makamba akitoa hoja ya dhalura Bungeni kuhusu sakata la mafuta linaloikabili nchi kwa takribani siku ya saba sasa  Tnagu Mamla ya Udhibiti wa Huduma ya Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta


Waziri wa Nisahti na Madini, William Ngeleja akitoa taarifa ya Serikali baada ya wabunge kujadili hoja ya Mbunge wa Bumbuli, January Makamba kuhusu tatizo la Mafuta lilijitokeza hivi karibuni



No comments:

Post a Comment