MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, January 15, 2012

Maaskofu wa Huduma ya Good News for All waliombea Taifa

 Askofu wa Huduma ya Good News for All, Charles Gadi akiombea vyakula ikiwa ni maombezi kwa Taifa ya Siku elfu moja katika mambo malimbali yaliyoanza katika Viwanja vya Biafra Kinondoni Dar es es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Askofu Charles Gadi akiombea nchi iwe na maziwa ya kutosha
 Askofu Gadia akiombe mito na Bahari ziweze kuto samaki wengi
Wachungaji wa huduma ya Good News for All wakiomba

No comments:

Post a Comment