MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, January 16, 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) akizungumza na Waziri Mkuu, Mstaafu, Cleopa David Msuya alipomtembelea Ofisini kwake, Dar es Salaam . 

 

Wafanyabiashara wa Vitanda wakipanga Vitanda sehemu zilipokuwa Kota za Magomeni  eneoa la  Magomeni Barafu ili kusubiri wateja kama walivyokutwa. Sehemu hiyo kwa sasa inatarajiwa kujengwa majengo ya kisasa na kubadilisha sura ya mji wa Magomeni.




No comments:

Post a Comment