Tamasha la utamaduni wa Kabila la wasafwa wa mkoani mbeya
Baadhi
ya wasafwa wa Mwasanga jijini Mbeya wakimwonyesha jinsi enzi hizo walivyokuwa wanakunywa pombe aina ya Kimpumu wakati mpigapicha alipotembelea kujionea ujenzi wa kituo cha kutunza
utamaduni na mila zakabila hilo.
No comments:
Post a Comment