Zanzibar nayo yatinga Nusu Fainali ya michuano ya Chalenji
Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia baada ya kuitoa Burundi kwa Penalti 6-0 katika mchezo wa Robo Fainali ya pili ya michuano ya Chalenji 2012 uliochezwa katika Uwanja wa KCC uliopo Lugogo nchini Uganda
No comments:
Post a Comment