MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, April 16, 2014

MAKAMU WA RAIS DK. MOHAMED GHARIB BILALI ATEMBELEA MAONYESHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilali akiangali mfano wa Siwa kwenye Banda la Bunge kwenye maonyesho ya miaka 50 ya Muungano yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilali akifurahi jambo na Ofisa wa Bunge, Prosper Minja kwenye Banda la Bunge katika maonyesho ya miaka 50 ya Muungano

No comments:

Post a Comment