MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, April 18, 2014

WAUMINI WA DINI YA KIKRISTO WAUNGANA KUADHIMISHA SIKUKUU YA IJUMAA KUU

Vijana na wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kiluthel Tanzania (KKKT) Ushariki wa Azania Front, wakiigiza jinsi Yesu alivyosulubiwa Msalabani wakati wa Sikukuu ya Ijumaa Kuu iliyoazimishwa jana



Waumini wa Kanisa  Katoliki la Mtakatifu, Joseph, Dar es Salaam wakibusu Msalaba wa Yesu wakati wa Misa ya Sikukuu ya Ijumaa Kuu

Baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Jimbo Kuu la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam

Moses Kombe akiigiza jinsi yesu alivyoteswa Msalabani

No comments:

Post a Comment