MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, June 20, 2014

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF NA BENKI YA POSTA WAZINDUA MPANGO WA MIKOPO YA WASTAAFU (WASTAAFU LOAN

Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phelimon Luhanjo (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayinga na Mkurugenzi Mkuu wa Benki Posta Tanzania na Sabasaba Moshinga na  Ofisa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Unice Temu wakionyesha mshikamano baada ya kuzindua Mpango wa Mikopo ya wastaafu kupitia Benki hiyo


Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phelimon Luhanjo (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayinga na Mkurugenzi Mkuu wa Benki Posta Tanzania na Sabasaba Moshinga na  Ofisa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Unice Temu wakizindua Mpango wa Mikopo ya wastaafu kupitia Benki hiyo


Mkurugenzi  Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,  Adam Mayinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa mikopo ya wastaafu kutia Benki hiyo
 Mkurugenzi wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshinga akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa mikopo ya wastaafu kutia Benki hiyo


Baadhi ya wastaafu walianza kunufaika na mpango huo

Wasanii wa Bendi ya Mjomba, Mrisho Mpoto wakitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Baadhi ya wastaafu walioanza kunufaika na mpango huo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phelimon Luhanjo (wa pili kutoka kushoto), akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayinga, baada ya kuzindua Mpango wa mikopo ya wastaafu kupitia Benki ya Posta. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki hiyo, Sabasaba Moshinga na kulia ni Ofisa Muuguzi wa Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Unice Temu


No comments:

Post a Comment