MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, June 20, 2014

MKUU WA JESHI LA POLISI ASAJILIWA KUWA MWANASHERIA WA KUJITEGEMEA

 Baadhi ya wanasheria wa kujitegemea wakiwa katika mahafali baada ya kutunukiwa vyeti vya uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande, Dar es Salaam
 Baadhi ya wanasheria wa kujitegemea wakiwa katika mahafali baada ya kutunukiwa vyeti vya uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande, Dar es Salaam

Jaji Mkuu, Othman Chande akimkabidhi cheti mmoja wa mawakili
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu, (kulia) akiwa na baadhi ya wanasheria wenzake wa kujitegemea muda mfupi baada ya kusajiliwa rasmi na Jaji Mkuu, Othman Chande, wakati wa mahafali yaliyofanyika, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment