MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Saturday, September 27, 2014

wananakikundi cha wapenderevu 1989 waliokutana jijini Dar es salaam kuzungumzia mambo yao ya maendeleo katika hotel ya giraffe view pamoja na mambo mengine walikumbushana maisha walio ishi shuleni miaka ishilini na tano iliyopita kwa mara ya kwanza kukutana toka walipo maliza elimu ya kidato cha sita weruweru sec-school mwaka 1989 Moshi mkoani Kilimanjaro





No comments:

Post a Comment