MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, May 1, 2015

MEI MOSI ILIVYOFANA JIJINI DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika maadhimisho ya Mei Mosi kimkoa yaliyofanyika katika  Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam
 wafanyakazi wa Kiwanda cha Konyagi wakiwa kwenye maandamano
 Baadhi ya wafanyakazi kutoka Sekta mbalimbali wakiimba wimbo wa mshikamano


 Askari wa Jeshi la Magereza wakiongoza maandamano wakati wa sherehe za mei mosi kwenye Uwanja wa uhuru, Dar es Salaam
 wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiwa kwenye maandamano ya Mei Mosi
 wafanyakazi wa Kampuni ya Ndege ya Precsion Air wakiwa katika maandamano

 wafanyakazi wa Shirika la TANESCO wakiwa katika maandamano
 Wafanyakazi wa SSRA wakiwa katika maandamano
wafanyakazi wa Mamlaka ya Chakula la Dawa (TFDA) wakiwa kwenye maandamano ya Mei Mosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment