MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, April 2, 2017

GYMKANA KLAB YA DAR ES SALAAM YAZINDUA BWAWA LA KUOGELEA (SWIMMING POOL)

Bwawa la kuogelea la  Gymkana Club (Swimming Pool) lililozinduliwa ijumaa iliyopita lililopo katika viwanja vya Gymkana jijini Dar es SalaamBwawa la kisasa la Gymkana lililozinduliwa ijumaa ya wiki iliyopita
 Masanii Barnabas na wasanii kutoka THT wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Bwawa la kuogelea la Gymkana Dar es Salaam (Swiming Pool)
 Kutoka Kushoto ni Mwenyekiti wa Gymkana, Dar es Salaam Walter Chipeta, mmoja wa wananchacha wa klabu hiyo, Nape Nnauye na Makamu Mwenyekiti, Fina Mango wakipiga makofi baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Swimming Poool ya Gymkana
 Mwenyekiti wa Gymkana, Dar es Salaam Walter Chipeta na wanachama wengine wakiwa kwenye uzindu huo

 Baadhi ya wanachama wa Gymkana wakifuatilia uzinduzi huo


 Msanii Ditto akiwaburudisha wananchama wa klab hiyo wakati wa uzinduzi wa Swimming Pool
 Mbunge wa Mtama na mmoja wa wanachama wa Gymkana, Nape Nnauye akiimba pamoja na wasanii
 Wanachama wa Gymkana wakicheza
 Wakifuatilia uzinduzi wa Swimming Pool Gymkana Dar es Salaam

Mmoja wa wanachama wa Gymkana Dar es Salaam akizindua rasmi kuwa wa kwanza kuogelea

No comments:

Post a Comment