MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 20, 2017

RAIS DK JOHN MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA OFISI ZA TAKWIMU MKOANI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli  akihutubia  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma

Rais Dk  John Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini  Bella Bird wakifungua kitamba  wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi wa ujenzi wa  jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini  Bella Bird pamoja na Balozi wa Canada nchini . Ian Miles na viongozi wengine wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya Taifa ya Takwimu mjini Dodoma


Rais Dk John Magufuli akikabidhiwa Ramani ya Tanzania na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa jengo la Ofisi za Takwimu mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment