MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, December 1, 2014

TAMASHA LA 12 LA MWAKA LA ASASI ZA KIRAIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Asasi za Kiraia, John Ulanga,akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la 12 la mwaka lililoanza leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam leo.
 Rais wa Taasisi ya Asasi za Kiraia. Dk. Stigmana Tenga akizungumza wakati wa Tamasha hilo.
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsi na Watoto, Sofia Simba, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Asasi za Kiraia Tanzania, Olive  Luena akitoa shukrani baada ya Waziri kuzungumza wakati wa Tamasha hilo.
 Baadhi ya washiriki wa Tamasha hilo kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika Tamasha hilo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Sofia Simba akiwa na Rais wa Taasisi ya Asasi za Kiraia,Dk. Stigmana Tenga,
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Sofia Simba, akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Asasi za Kiraia, John Ulanga. Kushoto ni Rais wa Taasisi hiyo,Dk. Stigmata Tenga.
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uraghibishaji na Utetezi wa Taasisi ya NACOPHA, Lilianne Chprenge
  Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba  akipata maelezokutoka kwa Mtaalam wa Lishe, Mariam Nyamwaaira.
 Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba  akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Chama cha Wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania, Mohamed Chanzi
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sofia Simba (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Chama cha Wenye Ulemavu wa Ngozi Tanzania, Mohamed Chanzi alipotembelea mabanda wakati wa maonyesho ya Taasisi za Kiraia. Kushoto ni Rais wa Taasisi, Dk. Stigmana Tenga,
Kutoak kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Asasi za Kiraia, John Ulanga, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi hiyo, Olive Luena, Mgeni Rasmi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsi na Watoto, Sofia Simba, Rais wa Taasisi, Dk. Stigmana Tenga, na mmoja wa wajumbe, Simbeye wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunguliwa kwa Tamasha hilo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Asasi za Kiraia Tanzania, Olive  Luena akiwa na Rais wa Taasisi hiyo,Dk. Stigmata Tenga (kulkia) wakati wa ufunguzi wa Tamasha hilo la siku tatu lilioanza jijini, Dar es Salaam leo katika Ukumbi wa Ubungo Plaza.

No comments:

Post a Comment