MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, February 18, 2016

BENKI YA NMB YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 75 KWA JESHI LA POLISI KWA AJILI YA MKUTANO WA MWAKA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, akikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 75 kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu kwa ajili ya Mkutano wa kikazi wa maofisa Jeshi hilo unaofanyika, Dar es   Salaam. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga


No comments:

Post a Comment