MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, February 18, 2016

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA BAADHI YA MAKUNDI YALIYOSHIRIKI NAYE KWENYE KAMPENI YA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2015

Baadhi ya watu na makundi mbalimbali walioshiriki katika harakati za uchaguzi wakiwa Ikulu, Dar es Salaam walipokutana na Rais John Magufuli

Rais John  Magufuli katika picha ya pamoja na kundi la sanaa la Tanzania One Theatre baada ya kuongea na baadhi ya makundi yaliyoshiriki naye kwenye kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 aliowaita kuwashukuru Ikulu jijini Dar es salaam
 Baadhi ya wasanii wakifurahi wakati Rais, John Magufulia akizungumza nao Ikulu
Rais John Magufuli akizungumza

No comments:

Post a Comment