MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 17, 2016

MANDHARI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Moja ya barabara Kuu ya Bibi Titi Mohamed iliyopo katika ya jiji la Dar es Salaam ikionekana katika mazingira ya kupendeza na kuvutia, kwa ushirikiano kati ya viongozi na wananchi mazingira kuwa kama haya  inawezekana kote nchini ili mradi kila mtu ajitambue anapofanya jambo hasa la usafi, ikiwa ni pamoja na kutotupa takataka hovyo

No comments:

Post a Comment