MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, June 14, 2017

BENKI YA NMB YAFUTURISHA WATEJA WAKE ZANZIBAR UNGUJA KWENYE MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Sehemu ya wageni waalikwa  waliohudhuria wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake benki hiyo  kwenye mfungo  Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

 Sehemu ya wageni waalikwa  waliohudhuria wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake benki hiyo  kwenye mfungo  Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Ayoub  Mohammed Mahmoud akimshukuru Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB,Abdulmajid Nsekela  baada ya kupokea zawadi maalumu mfungo wa mwezi mtukufu wa  Ramadhani wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani Unguja.

No comments:

Post a Comment