MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 11, 2017

BENKI YA NMB YAPONGEZWA KWA KUFANIKISHA KONGAMANO LA KITAIFA LA BARAZA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI



Kaimu Mkurungenzi wa wateja wakubwa wa benki ya NMB, Michael Mungure akipokea kikombe na cheti kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu, Jenista Mhagama ikiwa ni kutambua mchango wa benki hiyo kwenye kongamano la Kitaifa la Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) lililofanyika mjini Dodoma mwisho wa wiki




Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Vijana na Watu wenye ulemavu  Jenista Mhagama akimkabidhi cheti Meneja wa benki ya  NMB Kanda ya Kati Straton Chilomgola ikiwa ni kutambua ufadhili wa benki hiyo kwenye kongamano la Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment