MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, June 11, 2017

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA MABALOZI WANAOZIWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge,  Job Ndugai  akisalimiana na Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson, pale alipomtembelea ofisini kwake Mjini Dodoma.


Spika wa Bunge, Job Ndugai  akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Balozi mdogo wa Marekani nchini Tanzania,  Dk Inmi Patterson, pale alipomtembelea   ofisini kwake Mjini Dodoma.



Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza jambo pale alipotembelewa na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania, wakiongozwa na Balozi wa Uingereza nchini,  Sarah Cooke(kulia kwake) katika kikao kilichofanyika  ofisini kwake Mjini Dodoma.










Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi kutoka Norway,  Hanne Kaarstad (katikati) na Balozi kutoka Finland, Pekka Hukka (kulia) katika kikao kilichofanyika  ofisini kwake Mjini Dodoma


No comments:

Post a Comment