MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 20, 2017

JESHI LA POLISI LATOA WITO KWA WAZAZI KUWA WALINZI KWA WATOTO WAKATI WA KPINDI CHA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA



Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na Jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kuhusiana na Sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja  na kutoa wito kwa wazazi kuwa walinzi kwa watoto. Katikati ni Kamishna wa Utawala , Fedha la Logistick, Albet Nyamhanga na Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha makosa dhidi ya Maadili ya Jamii, Husein Laisseri


Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Robert Boaz, akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusiana na Jinsi Jeshi la Polisi lilivyojipanga kuhusiana na Sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja  na kutoa wito kwa wazazi kuwa walinzi kwa watoto.

No comments:

Post a Comment