MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, January 1, 2018

NAIBU WAZIRI KANGI LUGOLA AFIWA NA MKE WAKE



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS



Anwani ya simu: “MAKAMU                                                     Mtaa wa Makole,
Simu Na.: +255 026 2329006                                                           Jengo la LAPF,
Fax Na.: +255 026 2329007                                                              S.L.P 2502
Barua Pepe: km@vpo.go.tz                                                                        40406 DODOMA.


TANZIA

Ofisi ya Makamu wa Rais inasikitika kutangaza kifo cha Bi. Mary J. Lugola Mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. Kangi Lugola kilichotokea leo tarehe 01/01/2018 jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi na taratibu za mazishi zitatolewa baadae.
Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.

Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais,
Dodoma Tanzania.

01 Januari, 2018

No comments:

Post a Comment