MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, January 3, 2018

RAIS JOHN MAGUFULI AAGANA NA GAVANA WA BENKI KUU RASMI PROFESA BENO NDULU BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE

 Rais John Magufuli akizungumza na Gavana wa Benki Kuu aliyemaliza muda wake, Profesa Benno Ndulu Ikulu jijini Dar es Salaam
 Rais John Magufuli akiwa na Gavana wa Benki Kuu anayemaliza muda wake, Profesa Beno Ndulu(kulia) na Gavana Mteule Profesa Florens Luoga (kushoto)
Rais John Magufuli akizungumza wakati akiaagana rasmi na Gavana wa Benki Kuu aliyemaliza muda wake, Profesa Beno Ndulu. Picha zote na Ikulu

No comments:

Post a Comment